Wednesday, July 31, 2013

Punda mmoja huko Kenya katika jimbo la
Maragwa amepoteza maisha baada ya kubakwa na
wanaume wanne kwa zamu.
Wakisimulia tukio hilo, wanakijiji wa kijiji cha
kamahuha wanasema kabla ya tukio,
waliwashuhudia wanaume wanne wakimfunga
punda huyo miguu yake ya nyuma mtini.
Wanakijiji hao walipigwa na butwaa wasiamini
macho yao baada ya kumkuta Yule punda
asubuhi kafa pale mtini huku paketi kadhaa za
used condoms zikiwa zimetapakaa eneo la tukio.

No comments:

Post a Comment